Description
New model Early learning Tablet 5G
▪️Ram 8 storage 512GB
▪️ Screen 10.1
▪️ Camera 8 front 16MP
▪️Android 13.0
▪️Battery 🔋 6000mah
▪️Gift accessories ,Writting pad ,calculator,Pensil set,
▪️silicon Cover
▪️ Colours Blue,orange ,pink , Purple
.










ice issa –
Best tablet my son loves it and the screen its very clear and have eye protection so can not harm the kids eyes
seif issa –
Hii ndio tablet ambayo nimeipenda hata mimi kwani ina kioo kikubwa na tachi yaki ipo fast .iko poa sanaaa
Salma said –
Kilichonivutia zaid ni Screen yake kubwa yani mtoto ana enjoy kuitumia na pia ina storage kubwa sanaa hivyo nimemuwekea katuni zake za mwezi mzima 🤣🤣👍👍
Fransis mwambene –
Hii tablet kiboko mtoto wangu saiv simu yangu hana time nayo kabsaa .mneniokoa sanaa aisee👌
Saimoni kibelo –
Hii tablet ndio inamfaa mtoto wangu vile vengine vilikua vina screen ndogo mpaka mtoto ha enjoy kabisa
Masudi salum –
you guys are the best 👍👍 sina cha kuwadai hapa dogo kaipenda sanaa zaawadi yake ya birthday ya mara hii👍👍👍👌
Mpoki saimon –
Aisee hii kitu iko poa sanaa , na bei yake sasa ndio imenivutia zaid 👍👍 next time ntachukua na yangu ya kutumia ofisini
Jinath mathew –
Nimeshanunua tablet za watoto sanaa ila kila siku naishia kupigwa tu ila hii hata mimi nimeridhika namuona mtoto anavyoifurahia tu
Fatma seif –
Maashaa Allah hii tablet nimeipenda sanaa na hata mwanangu kipenda sanaaa na kizuri zaidi inakuja na zawadi kibao ila na bado nikapewa na begi buree!
Khaitham duller –
Best gift nilio mnunulia mwanangu na ikaniongezea mapenzi kwakwe kwani kila siku nashukuriwa ila tatizo ni moja tu , begi halitaki kuachwa kila sehemu anataka kuenda nalo 🤣😂😂😂. ila all in all hii ni Best tablet nimeipenda👍👍
Mohammed –
Allways you guys mnavitu unique na quality na nimekua nikipenda bidhaa zenu since day one ! ila hii ya kununua tablet unapewa begi free nimeipenda sanaa!!😊
Salim nassor –
Aisee sijawahi kumuona huyu chalii akifurah hivii kwanza kaelewa sanaa hili begi na alipoona tablet yeye mwenyewe kashutuka mbona kubwa hivii yani hadi leo wife haaminikua nimenunua bei hii
SAimon –
Hii tablet iko poa sanaa hadi mama watoto nae anaitumia mana inaspidi sanaa utazani sio ya watoto! hii kitu nimeipenda sanaaa!!🙌🙌
Bosingwa john –
Sikujua kama hii kitu ina games za masomo tayari leo wakati namsetia kijana ndio nimeona mmeniokolea kazi ya kudounlodi hivyo vitu saiv nampa anatumia tu
Danny –
Aisee hii kitu imemfaa sanaa kijana saiv anajua Abc na hasumbui tena na simu zetu .yan kipindi anarudi shule hadi walimu wanashangaa anaelewa chap sio kama mwanzo
Kinana said –
Aisee musije kupandisha bei kabla sijaongeza nyengine ya mtoto wangu wa mwisho mana hii kitu nimeipenda sanaa.halafu kizuri srini kubwa na inauwezo sanaa hata huyu mkubwa anatumia pia katika kazi za shule
Salome –
Hii offer ya begi inaisha lini mana nataka nichukue nyengine 2 ziende mwanza kwa wajukuu zangu pia
Mwanaidi –
saiv simu yangu inaamani mana haiguswi tena watu wako bize na tablet yao muda wote .na nimependa inagames za shule hivyo anasoma huku ana enjoy .iliked it a lot😍👌😊